Anatafuta kazi udereva msaada hata wa taarifa tu

Anatafuta kazi udereva msaada hata wa taarifa tu

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
750
Reaction score
367
Uzoefu miaka 11
Leseni TZ bara A, B, C, C1, C2, C3, D E .
Leseni ZNZ B1,D, C
LUGHA English and Swahili.
Elimu O lever.
0714 045 080.
 
Uzoefu miaka 11
Leseni TZ bara A, B, C, C1, C2, C3, D E .
Leseni ZNZ B1,D, C
LUGHA English and Swahili.
Elimu O lever.
0714 045 080.

kaka udereva ni kazi nzuri yenye mshahara mkubwa ukipata kwenye shirika ama taasisi ya maana, changamoto iliyopo ni kwamba kila mtu siku hizi anajua kuendesha gari na leseni zenyewe za kununua hizi basi tabu tupu, binafsi ni dereva nimeajiriwa na taasisi Fulani ila nilipoajiriwa niliambiwa kuwa barua zilikuwa mia tatu arobaini ili kuajiriwa moja kwa moja unatakiwa uwe na sifa zifuatazo elimu sekondari, uwe umesoma udereva/ufundi daraja la pili au hata la kwanza kwa dunia ya sasa pia ni vyema ukajua computer, English must, kama huna sifa tajwa hapo juu unaweza kuomba udereva kwa mtu binafsi halafu ukamuomba akuchomeke sehemu huku unatafuta hela ya kwenda NIT wakati unaomba sehemu mbali mbali naitwa pombe kali
 
Asante pombe kari. Sifa niliyo kosa kati ya hizo ni ya ufundi madaraja tajwa japo Nina ufundi Wa kuto laza Gari polini kwa matatizo ambayo siyo lazima kutatua fundi. Elimu O lever, compyuter , na NIT, nipo sawa saana. Ulisema keseni zinanunuliwa hivi hizi C PLAIN bado zinachakachuliwa na zinakuemo kwenye database ya taifa?
 
andaa cv au mtafute mtaalamu akuandalie cv kisha peleka kwenye recruitment agencies tofauti, ila wengine ukienda watakwambia ui upload online baada ya hapo peleka pia wakala wa ajira serikalini hawa wako barabara ya bibititi karibu na wizara ya kazi na ajira lakini cha msingi hakikisha cv yako ina nyama nyama kweli haitofika mwaka bila wewe kupata kazi
 
kaka matendo hongera kwa kuwa na sifa hizo maana kwa sasa nafasi nyingi za udereva zinataka leseni class C na uwe na elimu ya form IV,kuna kazi walitangaza Tanroads DSM deadline tarehe 11 AUGUST,na pia jaribu kutembelea website hii KaziBongo - Jobs in Tanzania huwa wanakuwa na matangazo ya kazi kila siku,Ahsante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom