Anatafuta ajira

Danpol

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
5,747
Reaction score
9,036
(mim sio mwandsh so nitaandka kwa ufup sana kama utakua na swal au utahtaj maelezo zaid we n PM au hapa hapa nitakujb)

Habar zenu wana jamv hope mko poa, naomba nililete hili mbele yenu kwa yyt atakae weza kumsaidia vyovyote vile nitashukuru sana

N msishana, umri miaka 20, elimu yake ni kidato cha 4 ufaulu wake n division 2, alikua kdato cha tano kutokana na shida za hapa dunian akajikuta anashindwa kuendelea na Elimu yake, n mkaz wa hapa dsm anatafuta kaz amezunguka sana kila anapoenda wale ma boss wanatanguliza rushwa ya ngono mbele, wengne wanataka mshahara wake miez miwil ya mwanzo awape, kdgo inakua ngum kwake, so plz kama unaweza msaidia vyovyote PM
 
waiting bandgu
 
pole sana mungu akusaidie.... jamani mclete utani naona wengine baada ya kusema ni binti mate hayooo utadhani wanaishi mbingu ucyo na wasichana acheni hizo huna msaada kaa kimya.
 
Hana access ya internet, ila kama unaweza msaidia, n PM au email yako then nitawakutanisha
 
pole sana mungu akusaidie.... jamani mclete utani naona wengine baada ya kusema ni binti mate hayooo utadhani wanaishi mbingu ucyo na wasichana acheni hizo huna msaada kaa kimya.

dah acha tu, maisha haya
 
Alikuwa anasoma kombi gani ,kama alikuwa amefaulu masomo ya science aende wizara ya elimu au aende DIT pale atapata maelezo ya kutosha kuhusu diploma wanatoa sponsorship kwa wasichana hiyo itamsaidia zaidi kuongeza elimu hatasumbuka kwenye ajira akiwa na proffessional yake ya technical
 

sante sana kwa wazo lako, analikua anasoma sayans (PCB)
 
kama kuomba kaz hawez sasa ataweza kazi ?

hujui unachoongea ndugu, hata hiyo summery ndogo hapo hujaelewa? Nakuombea mungu yasikukute, kama unaweza msaidia fanya hivyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…