Wanaume wanatembea na utajiri huo
nyeusi, duh!
Duh! aisee wacha niwe makini sana sasa damn!!
nyeusi, duh!
Umeiona?
ahahahhahaahahhaaha we unataka iwe nyeupe???
Angalau brown brown basi
Na kizazi cha sasa wanaobugiana?!! Labda uvae san gogoz
Ha ha ha, acha woga
Huuzi yako, unauza ya mwingine
Ila inahitaji ujasiri kumng'oa mtu hii kitu
Kongosho,
Binadamu hawaaminiki kabisa kama wanachuna mtu ngozi hai au wanakata mguu wa Albino lazima sasa tulale kifudifudi unaweza kuamka asubuhi unakuta Ikulu imeshaondoka.
ah!sa na we una macho mangapi!si ni mawili tu na yako kwenye uso!
ahahahhahahhahaha konnie hebu niache!