Anasita kuonana na mimi

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
Habari zenu wana JamiiForums,

Kuna baby gal mmoja hivi nashindwa kumuelewa. Ni muda sasa kama wa miezi 2 hivi kuanza nifahamiane naye na anaonyesha dalili za kunikubali lakini kila kila nikimpa promise tukutane somewhere tuongee kwake imekuwa ni tatizo.

Sasa jana tumekubaliana tukutane mitaa fulani hapa mwanza akakubali nimemsubiria weee! mpaka nikachoka mwishowe kanipiga simu amepata dharura, sasa amekuwa ni mtu wa sababu kila kukicha na anadai mbona tukiongea kweneye smu inatosha. Hivi jamani ni wakina dada ndivyo mlivyo au huyu wangu tu.

Ushauri jamani nitumie njia gani maana anaonekana ana mashaka sana na huu mwaliko wangu sijui anafikiria nini.

Nawasilisha
 
Muagizie boda boda wako amchukue akudropie hapo,,,Kwa matakwa YAke atakuruka milele
 
hao ni wale wa Dada wanaoekaga picha ya sura tu ikimaanisha ombo ni ziro sasa anaogopa utamwacha na jinsi unavyomuhonga sasa ndo balaa
 
anakupima kaka mvumilivu hula mbivu...........pole
 
Huna sumu dogo...halafu if you want something,it costs more...kwani ukienda kununua nguo unafanyaje?upate nguo kali kwa bei rhs?
 
Ahidi pesa...atakuja kabla ya muda
 
Acha ubahiri kaka .promise za vichochoroni hakuna siku hizi
 
Huyo usimwombe aje, sana sana wewe mfate na jiamini. Labda anahisi huko unapomwita hatakuwa safe ndio maana anaishia kukupiga sound, so wewe muombe umkute sehemu ya kuchagua yeye mwenyewe ambapo atakuwa huru kukutana nawe
 
Naona anaogopa ule msemo eti mwanamke akiingia geto kwa msela na akitoka hivi hivi eti watu watakuonanga we si kituu

√√Then hivi vibikra vinakuwanga vihangaishii
 
[emoji121]
ILA USISAHAU KUWA NYIE FORM TWO MNA MTIHANI MWAKA HUU NYINYI!
 
Sio ya kwamba anasita kuonana na wewe
Yani kwa maelezo yake inaonekana kaja
akakutazama hakuvutiwa na wewe kakuondokea
acha kusumbuka.
Kusoma hujui hata picha kuangalia na kutambua....!??
 
1. Ana mashaka na wewe au,
2. Si kama alivyokueleza, muonekano na kuhusu yeye. Au
3. Hana nia nzuri kwako!!! Ukute anakuchora tu ili akianzisha mashambulizi iwe rahisi kukumaliza
 
Mapenzi ya v-wonder!!
Tafuta mwingine,ndio ajue mchelea mwana utakuta mtoto si wako!!
 
Wengine wanakuwa na Matatizo sehemu zao za siri kama Magonjwa a Ngozi, majipu au papa mtepweto n.k So mchana kuwapata utachezeshwa mziki sana na wengine only usiku pia taa huwashi...! Ukishaona anakusumbua tu achana nao hawana uzima... Mwanamke swafi hana longo longo kwani hutaka kujionesha yupo fiti ana kutwist uingie ukolee...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…