chambimagaka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2017
- 288
- 338
Turudi nyuma kidogo.
Musiba alikuwa wa kwanza kumpinga Lisu kwamba Tanzania Si salama. Baada Ya kushindwa kumshtaki akasahau alichosema, akaja na majina Ya watu hatari. . Tena akielezea hatari yao Tangu miaka kadhaa ilitopita. . . Maana yake ni kwamba, anakubaliana na Lisu kwamba Tz si shwari, Ila ameamua kulielezea hilo kwa maneno mengine. . . Maana Inabaki kuwa sawa. . .
Lakini. . .
Polisi ikaunga mkono kwamba imepokea hizo taarifa na inachunguza. . . Bila kujali kama zimetolewa na kichaa. . . Tunajiuliza. . .
1. Kama mtu mmoja Ameweza Yeye mwenyeww Kujua watu hatari, bila rasilimali wala vifaa, intelijensia Ya polisi ina Kazi gani ?
2. Ikitokea kuwa ni kweli, kUna haja gani Ya kuwa na kitengo cha usalama kisicho na macho ?
3. Ikitokea kuwa ni uongo, huyu mropokaji atachukuliwa hatua gani Za kiusalama kwa kuzua hofu kwa watanzania kwamba Kuna watu hatari ?
4. Hivi kila mtu mwenye taarifa Ya watu hatari angejianika kwenye vyombo vya Habari, Hali ingekuwaje ?
5. Kama. Kweli waliotajwa ni watu hatari, kwa nini Musiba amekuja public na Si kupeleka taarifa hii wa Siri kusaidia polisi? Anajiamini nini ? Amepewa ulinzi kama Yule alotaja wauza unga ? Au ndio ukichaa aliousema aliyemjibu ?
6. Kwa majina yaliyotajwa, ni watu wanaojulikana, Hao ni 10, je WASIOJULIKANA hawajapatikana. . . Je, nchi ni salama ?
7. Polisi inajisikiaje kuzidiwa kete kikazi na kijana mmoja? Hakuna aliyejiuzulu kwa Aibu ?
8. Lakini. . . . Kwa nini Musiba ametaja majina Ya watu siku Za karibuni, ambao kwa maelezo yake alijua ni wahalifu Tangu enzi Za uchaguzi Akaamua kunyamaza? Alikuwa na ajenda gani nao ? Je Yeye Si accomplice wa uhalifu ?
9. . . . .
Niishie hapo kwanza. . .
Bibi Happy J