Anapojikubali

hehehe kwani raha ya kuwa wa mwisho ni nini utafiti
 
Last edited by a moderator:
Anapojikubali? Sio anakata tamaa?
 
Hapana aisee kuwa wa mwisho ni bonge la karaha...unadharaulika mnoo ukiongea utasikia 'hata wewee'!!!
 
Hii huwa inawasumbua sana watoto wa mwisho, mdogowe akizaliwa inakwua patashika. Bora mie sikuipata hii changa moto!

Viva #TeamLB
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…