N Nonda JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 13,358 Reaction score 4,308 Feb 8, 2011 #1 WanaJF, Nimekutana na hii video, mwishoni mwa video jamaa anajitoa muhanga na anatwangwa risasi. Maandamano ya Egypt Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
WanaJF, Nimekutana na hii video, mwishoni mwa video jamaa anajitoa muhanga na anatwangwa risasi. Maandamano ya Egypt
hashycool JF-Expert Member Joined Oct 2, 2010 Posts 6,555 Reaction score 2,841 Feb 8, 2011 #2 Dah! Inasikitisha.....inatia hasira....mh!
N Nonda JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 13,358 Reaction score 4,308 Feb 8, 2011 Thread starter #3 hashycool said: Dah! Inasikitisha.....inatia hasira....mh! Click to expand... Mkuu, naona umeondoa kilemba leo au ndio unajitaayarisha na maadamano? Wakimaliza wa kaskazini ,wanaanza wa kusini... Au Nilham ameondoa cha kwake?
hashycool said: Dah! Inasikitisha.....inatia hasira....mh! Click to expand... Mkuu, naona umeondoa kilemba leo au ndio unajitaayarisha na maadamano? Wakimaliza wa kaskazini ,wanaanza wa kusini... Au Nilham ameondoa cha kwake?
hashycool JF-Expert Member Joined Oct 2, 2010 Posts 6,555 Reaction score 2,841 Feb 8, 2011 #4 nonda said: mkuu, naona umeondoa kilemba leo au ndio unajitaayarisha na maadamano? Wakimaliza wa kaskazini ,wanaanza wa kusini... Au nilham ameondoa cha kwake? Click to expand... kuanzia leo niko ki kazi zaidi....l.o.l
nonda said: mkuu, naona umeondoa kilemba leo au ndio unajitaayarisha na maadamano? Wakimaliza wa kaskazini ,wanaanza wa kusini... Au nilham ameondoa cha kwake? Click to expand... kuanzia leo niko ki kazi zaidi....l.o.l
Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,384 Reaction score 11,281 Feb 8, 2011 #5 Du ni kweli inasikiisha hata mm niliiona kwenye AlJazeera sikujua alikuwa anaenda wapi? kwani alishavua koti akaanza kurudi nyuma, jamani hizi risasi ni za moto
Du ni kweli inasikiisha hata mm niliiona kwenye AlJazeera sikujua alikuwa anaenda wapi? kwani alishavua koti akaanza kurudi nyuma, jamani hizi risasi ni za moto
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,586 Reaction score 18,736 Feb 8, 2011 #6 the video is very sad, sijaona kama yule jamaa alikua any threat kwa mwenye bunduki... ohhh lord!
Paw Content Manager JF Staff Joined Nov 14, 2010 Posts 2,114 Reaction score 1,386 Feb 8, 2011 #7 Very disturbing
The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,097 Feb 8, 2011 #8 So sad and disturbing