Anapenda wake/wapenzi wa rafiki zake!

Anapenda wake/wapenzi wa rafiki zake!

Salve

Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
29
Reaction score
1
Ni ushauri kutoka kwenu wana jamii...maana nina rafiki yangu...yeye anapenda sana totoz ila hasa wake au wapenzi wa watu wa karibu naye hasa mabest zake...sasa amenisimulia hali hiyo pamoja na kukiri kuwa ni shida ila sioni kama anajuta maana ndio kwanza baada ya muda utamsikia anaanza kusifia demu mwingine wa rafiki mwingine...wandugu neno la kumshauri japo kumsaidia aache tabia hiyo mbaya na hatari kwa mahusiano katika jamii.
 
Hafai ktk jamii, tazama umri wake. Je, ameingia town lini? Ulimbukeni huo.
 
Tena ajabu jamaa mademu wake hawataki anataka wa rafiki zake!!!!!
 
huyo mwache aendelee maana ana hamu ya kufumuliwa marinda tu hakuna kingine hapo! anawashwa!
 
Back
Top Bottom