Anatakiwa kukupenda vile ulivyo,unapoteza confidence hivyo..haifai kwa mwanaume,sharobaro wa kuiga anakuaga boongee la mshaambaaaa....
jipange kumkichwa aisee, nawewe nenda naye stail ya kisharobaro like chai na lunch iwe steers, dine pawe lemon tree, gari japo usikose ka gaia. stori ziwe za best hitting bongo flevas, and movies. outing ziwe za kwenda cinema hall, beaches na beauty contests, angalau music shows zile zile za hitting shows na akae executive sites. wema sepetu banquet asikose mbona ukimpa uhakika wa hayo na mengine kama hayo hutomkosa?

Siku moja nilijaribu kuchomeka jina la mbongo fleva anaitwa Ommy Dimpoz akaniuliza kama nina nyimbo yake mpya kwenye simu yangu kijasho kikanitoka.
Ni muhimu ukawa kama ulivyo, express your feelings kwake then uone kama atakubali nawe kama ulivyo, mkiwa pamoja huenda mkatengeneza bond na kila mmoja aka-pick japo vichache toka kwa mwenziye.
bora uwe hivyo hivyo,ukijitia ku pretend kuwa kama yeye,baadae utashindwa ku pretend,na mara utaona hamuendani,mara mtaishia kubwagana tu.kama anakupenda,ni vizuri akukubali kama ulivyo.
gfsonwin again....umening'ata na kunipulizia!
ma bro platozoom, nilikuwa najitahd sana kukuonyesha msisitizo juu ya aina ya mdada uliye mdondokea na pr yako. to me i would advised you to delay in wateever you want to do with her ili ujiassess vizuri zaid mane such type of wadada ni prob in a long run.hapa nakushauri as your sister na siyo ushabiki.
Roho inauma. Lakini ndiyo maana nilikwambia wakati ule nilichelewa kuzaliwa!