Anapenda kuomba hela

Anapenda kuomba hela

Hajulikani

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
273
Reaction score
252
Wadau,
Niko na mchumba wangu ambae anakatabia ka kuomba sana hela, je hii tabia ni kiashiria kibaya kiasi gani katika ndoa?
Anafaa kuoa?

Je Mwanamke kupenda kuomba hela wakati ana kazi ina athari kiasi gani kumfanya mwanamke wa kuoa au kutokuoa?
 
Anafaa kuoa mkuu, sema tu usimompa hela atapewa na mwingine. Oa tu.
 
Kuomba hela sio dhambi, ila wewe unatakiwa ujue anachokiomba anakwenda kufanyia nini, isijekuwa anaomba hela kwa fujo, kazi anayoifanya kuja kutuonga sisi wasukuma mikokoteni.
 
Mpe hela tuu mkubwa, kama huwezi muache ujipange kwanza.
 
Wadau,
Niko na mchumba wangu ambae anakatabia ka kuomba sana hela, je hii tabia ni kiashiria kibaya kiasi gani katika ndoa?
Anafaa kuoa?

Je Mwanamke kupenda kuomba hela wakati ana kazi ina athari kiasi gani kumfanya mwanamke wa kuoa au kutokuoa?
Je anaomba hela kwa ajili ya matuimizi ya muhimu?
 
Mkuu huyo ndiye anatamiwa maana atakufanya ufanye kazi kwa bidii, ili umfurahishe na baadaye utageuka kuwa mtumwa wake! Kwani wewe haupendi kuwa mtumwa kwa mwanamke?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa wanaamini ukimpa ela ni ishara ya mapenzina wakati mwingine unaweza kumpa na asiitumie.
 
Huyo ndo anafaa kuoa maana ni mjasiriamali asipopata kwako, atahakikisha amepewa nam mwingine na mtatumia wote
 
Wadau,
Niko na mchumba wangu ambae anakatabia ka kuomba sana hela, je hii tabia ni kiashiria kibaya kiasi gani katika ndoa?
Anafaa kuoa?

Je Mwanamke kupenda kuomba hela wakati ana kazi ina athari kiasi gani kumfanya mwanamke wa kuoa au kutokuoa?
Una uhakika ni mchumba au demu?
 
Hiyo inaitwa ‘’ YOU DO ME I DO YOU’’ wewe unavyomuomba papuchi unaona ni Sawa, ila yy akikiomba hela inakuwa nongwa!
 
Back
Top Bottom