Anapatikana wapi huyu???

munimuni

Senior Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
110
Reaction score
69
yule aliezaliwa kwa ajili yangu?yule tuliambiwa tutakuwa mwili mmja yule ambae ataongeza kicheko changu??yule atakaenipa bega lake nifiche machungu yangu uko wapi???
 
Ili awe na sifa zote hizo "Labda umtengeze mwenyewe" [emoji848][emoji848][emoji848]
 
yule aliezaliwa kwa ajili yangu?yule tuliambiwa tutakuwa mwili mmja yule ambae ataongeza kicheko changu??yule atakaenipa bega lake nifiche machungu yangu uko wapi???
Labda umuumbe mwenyewe au ukate mgomba uweke ndani
 
yule aliezaliwa kwa ajili yangu?yule tuliambiwa tutakuwa mwili mmja yule ambae ataongeza kicheko changu??yule atakaenipa bega lake nifiche machungu yangu uko wapi???

Majibu ya haya maswali anayo Mungu wengine humu watazidi kukuchosha tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Tobaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38] kuwa makin
 
yule aliezaliwa kwa ajili yangu?yule tuliambiwa tutakuwa mwili mmja yule ambae ataongeza kicheko changu??yule atakaenipa bega lake nifiche machungu yangu uko wapi???
Wewe ni Me au Ke? What ever!
Kama ni Mkristo na uko Dar, Nenda pale Mikocheni kuna kanisa linaitwa Victory Christian Center... Kuna vijana kibao wa kisasa, wasomi na wanaojielewa... And everybody who is single is in 'search mode'! Am sure ukisali pale kwa mwaka mmoja, huwezi toka Cappa!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…