ANAOMBA USHAULI WENU

Andika vizuri bhanaaa aaaagggggrrrrrr[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21]
 
Pole sana mkuu
 
Nmeandika huku napika vyombo karibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] duh unapika vyombo we ushmen njoo ona mwenzio huku anakosea kuandika sababu ya kudukua previous post
 
Mwambie hivi asiwaze sana kusex anapopania nisawa na unapokua na njaa kali unawaza utaenda kula ugali mkubwa ukipewa tuu unakula kidogo then unautupa kule. Muandae wife wako usikurupuke tuu kuanza kupiga game wakati mwenzio hayupo katika mood, ni vema unaporudi nyumbani fungua hisia zako mwambie ni sehem gani akikupapasa unajisikia raha ukisha zijua basi tumia mkono wako na wake apapase sehemu zenye kuamsha hisia hata kama ukichoka. Ntaendelea......
 
Daaa we jamaa umenikata mbavu kwakweli kwanza kumuunganishia post then ku conclude jf bhanaaaaaa aaaΓ h
Ili ukuwe sawa humu jf.... Kidogo unapaswa kufungua roho, na ukuwe na macho yenye kuchangamka
 

kaka ni simple sana.. azingatie matunda yafuatayo.. (1) ndizi (2) karot (3) tango (4) pendelea kula vitunguu maji pamoja na supu ya pweza. kwa siku ata mala moja.. an achukue vitunguu swaum avisage then achanganye na asali... hii dawa awe analamba kutwa mala mbili.. apo nampa wiki atakua anataman kuendelea na mzigo
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mkuu ni makusudi au smatifoni inazingua?woiiiiiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…