Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 4,048
- 3,051
Ni ushauri tuu, maana sisi waTz twapendana sanaHa ha ha haaaaaaa.a....... kweli mzee baba unataka kufanya mageuzi
Asante sanaHaswaa nakupendaga sana
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/27860580Kuna rafiki kaniomba ushauli kama nlivyowaambia hapo juu. Anasema akiwa njob hua anawaza akifika home kwa waifu baada ya kuoga na kula wakiingia kitandani anatamani ashinde japo goli tatu mfululizo. Cha ajabu hufunga goli moja tu na kuishia kuitisama k tu na mpaka usingizi unamkuta.
Anaomba ushauli afanyaje ili aweze kushinda hili lengo lake?
Kwahiyo?https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/27860580
Naomba kiwasilisha.....[emoji30][emoji30][emoji30]
Kuchamba kwingi, utajikuta unashika mavi.... tehteehhhKwahiyo?
Kwa kweli!!Ingekuwa ushauri ungeweza kupata, ila ushauli ni ngumu sana kupata.
Sory mkuu wewe mwenyeji wa wapiNafukishia leo leo
Sema walah!!ipi hiyoWa stendi
Tupia kapicha huyo mkeo mkuu nimzoom kwanza ili nijue pakuanziaKuna rafiki kaniomba ushauli kama nlivyowaambia hapo juu. Anasema akiwa njob hua anawaza akifika home kwa waifu baada ya kuoga na kula wakiingia kitandani anatamani ashinde japo goli tatu mfululizo. Cha ajabu hufunga goli moja tu na kuishia kuitisama k tu na mpaka usingizi unamkuta.
Anaomba ushauli afanyaje ili aweze kushinda hili lengo lake?