ANAOMBA USHAULI WENU

bigest

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
340
Reaction score
166
Kuna rafiki kaniomba ushauli kama nlivyowaambia hapo juu. Anasema akiwa njob hua anawaza akifika home kwa waifu baada ya kuoga na kula wakiingia kitandani anatamani ashinde japo goli tatu mfululizo. Cha ajabu hufunga goli moja tu na kuishia kuitisama k tu na mpaka usingizi unamkuta.

Anaomba ushauli afanyaje ili aweze kushinda hili lengo lake?
 
Ingekuwa ushauri ungeweza kupata, ila ushauli ni ngumu sana kupata.
Aaaah! Mzee baba isomeke ushauri basi aweze kupata msaada. Ili atimize haja ya mechi yake
 
duuh labda anapania mech mkuu ila ngoja wajuzi waje
 
Tatizo sio wewe tatizo ni mkeo. nitumie namba yake nitampigia nimshauri kitu, usisahau kutuma na picha yake
 
Kwan ukisema kuwa wewe ndo unaomba ushauri utapungukiwa nini?

Sababu itakuwa ni hii ifuatayo kama utakuwa upo sawa kiafya na huna stress

Mara nyingi hali hiyo inasababishwa na mwanamke mwenyewe,,wanawake wengine wao hudhani shuguli ya kumwandaa mwanamume haiwahusu hivyo huwaacha wasisimke wenyewe na kwa vile inakuwa umeshamzoea huyo mwanamke huoni kipya kwake inakua ngumu kurudia tendo maana ile hali ya mwanzo ni nyege ndo imefanya asimamishe.

Wanawake wengi wao hupenda kuandaliwa wao tu,,kama una bisha jaribu ukutane na mwanamke mtundu au mpya utaona uko safi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…