Ananiumiza lakini nashindwa kumuacha

Ananiumiza lakini nashindwa kumuacha

hujaumizwa wew ndio maana bado hujamuacha kumbe na nyie ving'ang'anizi eee mtu anakuumiza lakini bado tu upo
 
Wewe mimi nakufaham vizur.... eti anakuumiza!!!!!?????? How???Kwa hyo huku jf ndo umeona mahal pa kuja kuleta pumba zko?? Utabadili wanawke km nguo km usipobadil tabia yko...ww c ulikua na mke wa ndoa mkashindwana????!!!!! Ptuuuuuuuuhhh.

Kwa hiyo ndoa ilishamshinda, na mchepuko nao pia unamshinda, mmmhh
 
Wewe mimi nakufaham vizur.... eti anakuumiza!!!!!?????? How???Kwa hyo huku jf ndo umeona mahal pa kuja kuleta pumba zko?? Utabadili wanawke km nguo km usipobadil tabia yko...ww c ulikua na mke wa ndoa mkashindwana????!!!!! Ptuuuuuuuuhhh.
Duuh... za uso live..
Sa mbona una muumbua
 
mpende mwaya ucmuache bby wako mi natamani kupata coz mitoxo inaniua
 
Njoo nikung'ang'anie

Bahati mbaya huwa sipendi mtu king'ang'anizi yani nikimuambia kitu anatakiwa kuelewa na hata kuacha pia hizi habar za kuzongana zongana hizi kwangu mwiko.....
 
Back
Top Bottom