Ananitaka ila mi simtaki kabisa

Ananitaka ila mi simtaki kabisa

Saragana

Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
8
Reaction score
2
wana JF, Habari.

Kuna dada mmoja ananitamani sana hapa mtaani kwetu yaani mpaka kero, mi sijaoa eti kila siku ananitania eti nimuoe na mimi sitaki maana nina mchumba wangu yupo chuo saivi. Nifanyeje ili nimkimbie? asinizoee kabisa?

Nawasilisha.
 
Papuchi ya bure hiyo mkuu...

Wa hivyo huwa tunawagegeda wee, huku tunatoa day dream promises...

Mwisho wa siku tunasepa, tatizo hata wakiambiwa ukweli hawaachagi

We gegeda tu
 
wana JF, Habari.

Kuna dada mmoja ananitamani sana hapa mtaani kwetu yaani mpaka kero, mi sijaoa eti kila siku ananitania eti nimuoe na mimi sitaki maana nina mchumba wangu yupo chuo saivi. Nifanyeje ili nimkimbie? asinizoee kabisa?

Nawasilisha.

Ukweli hukuweka hulu,kama huna nia nae kwa nn usimwambie ukweli kua una mchumba?jambo hilo wala halina sababu ya kuuliza,mwambie tu kua hutaweza kua nae coz una wa kwako tayali
 
wana JF, Habari.

Kuna dada mmoja ananitamani sana hapa mtaani kwetu yaani mpaka kero, mi sijaoa eti kila siku ananitania eti nimuoe na mimi sitaki maana nina mchumba wangu yupo chuo saivi. Nifanyeje ili nimkimbie? asinizoee kabisa?

Nawasilisha.

Mwambie una ebola...
 
Kumbe anakutania sasa tatizo liko wapi hapo?
 
Mna huyo wa kwako unajua wanachomfanya huko chuon? Tehe tehe

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
wana JF, Habari.

Kuna dada mmoja ananitamani sana hapa mtaani kwetu yaani mpaka kero, mi sijaoa eti kila siku ananitania eti nimuoe na mimi sitaki maana nina mchumba wangu yupo chuo saivi. Nifanyeje ili nimkimbie? asinizoee kabisa?

Nawasilisha.

Achana nae kabisaaaaa!!!!!
 
Aseee nipe namba zake, nikuoneshe sarakazi zinavyorukwa na marijali.
 
wana JF, Habari.

Kuna dada mmoja ananitamani sana hapa mtaani kwetu yaani mpaka kero, mi sijaoa eti kila siku ananitania eti nimuoe na mimi sitaki maana nina mchumba wangu yupo chuo saivi. Nifanyeje ili nimkimbie? asinizoee kabisa?

Nawasilisha.

Aisee .....

Hii nayo inashangaza ...

Karne hii mtu anakutaka hujui la kufanya hadi uje JF ....

Hili jukwaa siku hizi limekumbwa na maradhi gani sijui ...
snowhite sijakuona siku sasa,uko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume hupaswi kusema 'mwanamke Fulani ananitaka mi simtaki'...kamahumtaki mkatae kimya kimya bila watu kujua umemkataa.....ukiwa na tabia ya kusema sema...utakuja kujikosesha 'bahati' za kila aina......hata yule unaemtaka anaweza kusikia unavyo ropoka ropoka akakuona mshaamba kabisa...
 
wana JF, Habari.

Kuna dada mmoja ananitamani sana hapa mtaani kwetu yaani mpaka kero, mi sijaoa eti kila siku ananitania eti nimuoe na mimi sitaki maana nina mchumba wangu yupo chuo saivi. Nifanyeje ili nimkimbie? asinizoee kabisa?

Nawasilisha.

Bila shaka atakua beki 3 huyo. Kama unaona amejaliwa mzgo wa haja na figure inaruhusu we uwe unafumua tu (na kinga fkoz wengi vicheche hao). Yaweza ikawa ni ugwadu unamsumbua !!
 
Mwambie nina mchumba wangu ambae ni Mama watoto mtarajiwa.

Yaelekea wewe mwenyewe unafurahia kautani ndio maana anaendelea kukusumbua
 
Kwani wewe bubu huwezi ongea? Mwambie haya uliotuambia, huwezi piga kimya avisome tu vitendo kwamba humtaki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom