Hatuna tofauti chifu,Mapema Ningekupa kona.Kwa uzoefu wangu maranyingi ukimuomba msichana namba akakupatia halafu baadae unamtumia text anaishia kutizama tu hajibu hapo jua kabisa kuna vitu kadhaa vinamuongoza kufanya maamuzi hayo.
1. Hajapendezwa na muonekano wako. Wasichana wengi hasa hawa wa vyuoni hasa mwaka wa pili au wa tatu hawa wameshazoea kudanga na watu wenye hadhi fulani sasa ukienda wewe na ndala zako unalazimisha namba atakupatia lakini mwisho wake utakua ndo huo.
2. Huenda ndo kwaanza yupo kwenye penzi motomoto. Mara nyingi katika hatua hii msichana hua hana muda na hawa wanaoimba namba barabarani kwa sababu moja kwa moja hisia zake zitampeleka kwamba huyu anataka kunitongoza hivyo hatokupa ushirikiano ili kuepuka usumbufu na kupelekea kuleta shida kwa mpenzi wake.
CHA KUFANYA
Wewe endelea ku view status zake akiweka picha nzuri msifie akijibu muitikie huku ukichunguza reaction yake kama je! Ninaweza kuendelea na mazungumzo au hapana.
Akijirekodi kavideo chenye nyimbo nyuma yake reply mwambie nimeipenda hio nyimbo naomba nitumie. Akikutumia mwambie napenda sana nyimbo zenye mahadhi haya kama unazo baadhi tafadhari pia naziomba basi unatafuta na story ya kuungia taratibu.
Ila ningekua mimi kwa ninavyojijua ningesha Mmute mapema sana...
π₯Hapa nimekosea ndugu yangu, nilijua nam quote Carlos The Jackal , alinishauri nimtext mke wa mtu nimwambie nataka kumlamba matako, almanusura nifukuzwe mtaa yaani, kumdhari ndugu yangu
Doneπ₯
Naomba uifute comment yako basi
π₯π₯π₯π₯
Si mpaka awe amekusave sasa hahahahahaInauma hatari.
Yaani anabaki kuview status tu
Huyo hajakuelewa..... Unatemana nae kimya kimya..... Usimtafute tena na namba yake unafuta.....
Kuna watu wamekuja Duniani kuringa na kupoteza muda..... Na ukihangaika nao kichwa chako kitachemka....
Why uhangaike na mtu asiyejitambua au asiyejua anataka kitu gani.....?!
Mimi personally sipendi kuwasiliana na watu wasiojielewa wao ni akina na wanataka nini katika haya maisha..... Kwa kifupi watu wasiokuwa realistic na maisha yao....
Unakuta binti unatoka katika family background ya kawaida sana.....
But unaanza kujiona ni levels za akina Beyonce na Rihanna, yaani sababu rangi ya ngozi ni ya chungwa au nyeupe, au sababu una makalio makubwa, shepu nzuri, nywele nzuri, sura nzuri na kadhalika unajihisi wewe ni first class human..... Takataka kabisa....
Mtu akiringa temana nae.....akatafute anaotaka wawasiliane nae.....
Salam ni mara moja tu, akisoma akakukaushia tupa huko........achana nae...
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora hata wewe amekublue tick kuna wengine tulisomesha kupewa namba tukapata mwisho wa siku linamba lenyewe halipatikani Mpka kesho...inakera sanaHabarin humu.!
Nisipoteze muda niende kwenye mada.
Aisee kuna vitu vinakata moto sana. Mtu umesota kupata namba yake, haya umembananisha ukapata namba yake, tena amekupa bila hiyana na bashasha tele, halafu unamcheki anaku blue tick halafu hajibu
Ananikera ila sina jinsi bado nakaza mpaka dakika ya mwisho.
Mabaharia huwa mnafanyaje...?
NB: Ka-feeling ka-mtu kuku blue tick jaman nyie kaacheni tu