Ananikata moto hajui tu


Yani we jamaa unajikutaga una manual script ya kila mwanamke
Ila Kuna baadhi ya wanawake ni type yako na ndio unao waongelea mostly,sadly unawapa generalization na wengine
I doubt your exposure to certain kind of women
 
Yani we jamaa unajikutaga una manual script ya kila mwanamke
Ila Kuna baadhi ya wanawake ni type yako na ndio unao waongelea mostly,sadly unawapa generalization na wengine
I doubt your exposure to certain kind of women
Akili ya mwanamke, awe msomi,awe hajasoma, awe na uchumi ,asiwe nao. Awe kaolewa. Hajaolewa, awe mbongo kama wewe,au asiwe

WOTE AKILI YENU NI MOJA... Nahili wanaume wakilijua, watawala mpaka baasi.




Wake za watu, wasio, Wenye kazi nazohisi hata wee ufikii, wenye elimu nazohisi hata wee hufikii, ambao mimi ndio wananitegemea yaaan wakila aina..

Nmeshawala sana, na nikuhakikishie jambo moja, nmefikia Mahali ambapo sina hofu na mwanamke yoyote, wee hata Una cheo gan, sijui una exposure gan, ukikutana namm, nikawa interested nakupata labda usinipe namba alafu iwe ndo sitakuona tena.

ivo nachoksema nina uhakika nacho 100%.



Wewe unazungumzia wanawake gan,wakushuka toka juu mbingun?
 

Bado hujawala wote daktari,endelea kujifunza kuna mengi

Wanawake ninao zungumzia mimi sikumaanisha kwa kipato,au kielimu sijazungumzia status
Kama kungekuwa na mwanaume hata mmoja tu duniani ambae angejinasifu kamaliza kuwaelewa wanawake nakuhakikishia leo tusingekuwa tunaandika huu uzi.
Lakini kama unataka sifa ya kwamba wewe unawaelewa sana wanawake naomba nikutangulizie kombe kabisa la ushindi

Narudia tena I doubt your exposure to women,kuna aina ya wanawake wewe ndio unao waongelea hapa we can argue mpaka kesho,let’s agree to disagree
 
.. Ona Maya, kuna siku hata wewe kama sijakosea, uliwah andika uzi, kua umefall kwa MUME WAMTU..na pia una mwingine

Nahisi ulikua unaomba ushauri ufanyeje???



BASI MAYA, KAMA WANAWAKE UNAOZUNGUMZIA NDIO AINA YAKO

amini nakuambia, hata wee ningekua sijajiweka wazi maisha yangu humu, ningekutongoza ungekubali tu kama kawaida
na ningekukula.


Wanawake WOTE CHINI YA JUA ,BILA KUJALI ASILI YAO..MNAPENDA "POWERFUL MEN "


Mfano...Msanii Diamond, anawala sio kwamba ana Pesa, bali Machoni kwenu Upowerful wake ni Umaarufu ..

Mwanaume mwengine, sio Maarufu ila upowerful wake upo kwa Pesa

Mwingine hana Pesa, ila Anajiamin, mwingine Anawonekano maridadi.


Kila mmoja, akijua ku exercise upowerful wake, ATAWALA MPAKA ATAANZA KUWAKIMBIA.


nyinyi sindo wanawake, mnaoweza tembea na mume wa mtu, sababu tu mkewe ambaye ni rafikio kakusimulia kua Mumewe anamikito ya ajabu? So unajilengesha ili uone yaliyomo??


MIMI NASEMA IVI, CHINI YA JUA, WANAWAKE MNAFANANA.


Nauliza, wanawake gan wewe unazungumzia???.
 

umenifurahisha kutumia mifano yako kupitia post zangu
Naweza kukujibu kupitia scenario zangu mimi lakini I assure you kwanza utashangazwa pili I will attract a lot of people kwenye huu mjadala hapa,kuna post moja nimewahi kufunguka kidogo tu aisee wanaume walipanic balaa
nikisema nikujibu hapa nakuapia nitashambuliwa hatari sana
na type huku nacheka
Najua hujafika 36 bado upo kwenye early 30’s hicho ki age ni rahisi sana kuwala wadada wa age zote status zote etc etc na ndio unaona umemaliza

Yani kungekuwa na sehemu hii convo ni ya watu wawili ningefunguka

Wanawake unao uliowapata wewe wote regardless ya tofauti zao wana ndonga aina moja ni type hio ndio yako


Ngoja nikupe muendelezo wa ile story nilio ileta I got married to the guy alie kuwa single,na nilimuacha yule mume wa mtu siku ile ile nilio post sikuwahi kumtafuta tena,kubwa kuliko unajua kwanini nilikubali kuolewa na huyu single man ambae ndio mume wangu kwa sasa?(usinijibu kwasababu najua huwezi kuwa na jibu)


Mi naishia hapa nisije kufunguka zaidi
Ila ujue bado sana endelea kujifunza
 
Hahaha sasa je na wakati mifano ipo


Onaa, yaan ikiwa uliweza kutamanika na MUME WA MTU na bado Ukawa na Aliye Single ..na ukadate nao kwa wakat mmoja

Hiyo ni wazi inaonyesha ,Maya ni mwanamke wa aina gan



Mimi sijui wewe unajielezea vipi au unamuelezea vipi mwanamke unayemsemea hapa!!!

Kwa sababu ninachoamin. Japo sijakuona, Aina ya watu niliowakula, sijui kama mnafanana ktk maana nilizozielezea.

Yaan kama ni misimamo ,kuna walonipa misimamo ya kidin, na kidunia kwelikweli,.lkn wameishia kunitunuku



Age?? Umri kwenye mahusiano sio kitu kabisa, Nahii ndio sababu ninakua na watu wanajitambua sana.


Sasa weee na tumiaka twako 36 unajiona mkubwa



Wewe unalika kirahisi sana bana Maya.
 

Ngoja nikumegee siri
If I want a man I get him
Huyo mume wa mtu was purposely na ndio maana nilimuacha siku hio hio sijui kama hata unaelewa au unasoma kwa kujibu haraka haraka
Kama nilikuwa namtegemea ingenichukua muda sana kutoka kwake kwa taarifa tu

Mimi sijafika hata 36
lakini nadhani nikifika hapo pia nitamshukuru Mungu

Am trying to show you kuna vitu unajiaminisha unavijua ila huvijui


Anyway daktari upo department gani nitafute kiugonjwa nije
,upo muhas au wapi?
 
Tuma laki 2 chap
 
Ww jipeke tu usikute anakutega
Tayar wahuni washaandaa sindano za kukuchoma ww
 
mzee baba wewe legend,yaani umevamia uzi wa watu kimasihara hivi hivi
 
Ww jipeke tu usikute anakutega
Tayar wahuni washaandaa sindano za kukuchoma ww
Mwanamke kama hakupendi nahana uhakika wa usalama wako atakuambia tu Haiwezekani .


Huwa wao ni ngumu sana kumchomesha mtu akijua anaweza kuuliwa

Labda itokee, jamaa afumanie alafu amlazimishe sasa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…