Ananikata moto hajui tu

kilamba lamba

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
427
Reaction score
738
Habarin humu.!

Nisipoteze muda niende kwenye mada.

Aisee kuna vitu vinakata moto sana. Mtu umesota kupata namba yake, haya umembananisha ukapata namba yake, tena amekupa bila hiyana na bashasha tele, halafu unamcheki anaku blue tick halafu hajibu

Ananikera ila sina jinsi bado nakaza mpaka dakika ya mwisho.

Mabaharia huwa mnafanyaje?

NB: Ka-feeling ka-mtu kuku blue tick jaman nyie kaacheni tu
 
mwambie huyo... sio unatangaza ndoa hata ujajua kama K ipo au haipo.
 
Wacha bhana๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
 
Tatizi ni kwamba we una hisia naye, pengine ye hana hisia na wewe, hapo ndo pagumu, hawezi kujihisi unavyohisi wewe juu yake, badilisha muelekeo chief
 
Kawaida
 
Mkuu tuma na ya kutolea,Weka Salio hata bila kuombwa,Ui=kishindwa Muone daktari
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ