Anameremetaaa

Anameremetaaa

Hao 'wanapasha kiporo'
Ndio mana hawajajali sana.
Bwana harusi ana furaha iliyopitiliza.
Umeona eeh?Bibie keshashusha engine kama 4 hivi....lol
Lakini sio sababu ya kutokujitambua
 
Umeona eeh?Bibie keshashusha engine kama 4 hivi....lol
Lakini sio sababu ya kutokujitambua

Unajua hizi nguo zisizo na mikono hua zina mambo yake,
Nadhan walimbana na pini sasa imeachia,
Na vile shamra shamra akashindwa kutengenezwa kwa haraka.
 
Matusi mengine bana! Eti ameweka ndala kifuani kupasuana mbavu tu!!
 
Ongera mkuu arusi sio kutunia mabilion cha msingi upendo Wa wana ndoa
 
Anatofauti gani na Nicole Scherzinger hapa bila cleavage

2F7AB3CA00000578-0-image-a-20_1450427582470.jpg
 
Anatofauti gani na Nocole Scherzinger hapa bila cleavage

2F7AB3CA00000578-0-image-a-20_1450427582470.jpg

Ndala za Nicole ingalau zina suupu kiasi, yule mwingine imebaki ganda tu ndani hamna kitu, haikufaa avae vile kama nido zake ni saa sita wakati sio.
 
Hahahahaaa hivi hao warembaji wana akili nzuri kweli?
Halafu bibi harusi mzuri tu endapo wangempatia angetokelezea......
Bwana harusi anatabasaaamu mwenyewe!

Huyo bi harusi si wewe kweli??
 
Back
Top Bottom