Anamdai mbunge wa CCM anamzungusha!! Afanyeje?

cheguevara

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,348
651
Habar,
Napenda kuuliza kama mtu anamdai mbunge na ana msumbua hamlipi baada ya kumuuzia nyumba anaanzaje au anaenda kwa kiongozi gani wa chama kwa sababu ana msumbua hamlipi?
 
Arudi kuchukua nyumba yake. Au wagawane vyumba kila mtu awe na umiliki pasu kwa pasu... Ilitakiwa amkabe kipindi kile wamelambishwa milioni kumi...
 
Back
Top Bottom