Analog weddings: Hakuna kuremba!

Point inayoongelewa ta urahisi wa gharama ni nzuri, ila hii picha inaonekana ni ya karibuni sana, maana hata hiyo pikipiki ni ya karibuni tu. (San lg au za kichina) but nimependa being simple na kuendana na mazingira.
 

mmh.huo mwaka?
 
dah,,mmenikumbusha harusi ya kaka kisiju..usafiri baiskeli..ilikuwa poa
 

swafii xo wengne unatongoza dem miaka mitano
 
hivi unajua mkuu kajojo enzi zile hiyo harusi ilkuwa ndo babkubwa yaani gumzo mtaani siunajua kila fasheni na staili na wakati wake,hapo ukute kwenye hiyo harusi enzi hiyo ndo ilikuwa ya wasomi sana na ya ze watu ya mjini wakati kwa sasa ukionekana umeifanya ya hivyo utageuka kituko,jamani nyakati hizi things are changing alot aisee
 
Last edited by a moderator:

March 1884 ????!!!!!!!, itakuwa umekosea mwaka mkuu SHIEKA
 
Enzi zetu mambo yalikua namna hii, hakuna kuremba. na tuna dumu kwenye ndoa miaka mia naneee!
vipi wewe ndugu, enzi zako mambo yalikuaje.............:whoo:

Aaah we wa juzi tu,sisi enzi zetu kulikuwa hakuna pikipiki za mchina tulikuwa za mjapani tu,honda 110.
 
Watu kujitia magharama na madeni chungu mbovu kisha mwezi tu ndoa imevunjika kha...Bora enzi hizo wanajirahisishia mambo!!Sio show off nyingii kuwanufaisha watu tu...

ili kesho yake aipeleke kwenye chereko umati wa watanzania umuone. mbwembwe tu
 
Zamani wadada walikuwa mara nyingi 'wanajiliza' siku za harusi, lakini siku hizi kavu kavu au full kununa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…