Analalamika kuwa mke wake hamuandalii wala kumuita chakula kikiwa tayari na anamuachia ‘dada wa kazi’ afanye hivyo

Wanawake bhana.
Mkikutana watu wa kabila tofauti wazazi wetu huwa wapinzani Sana.
Ukimuambia anaanza kulia na kulalamika kubaguliwa na kudai atajifunza hayo ya upande wa mwanaume.
Akishapata cheti anaanza kutaka kumbadilisha mwanaume aendane na makuzi aliyopewa yeye.!!
Mwanaume ukikubali umeliwa.
Utajenga Hadi kwao wakati wazazi wako wanaishi nyumba ya miti kijijini huko.

Haya tunakutana nayo tuliooa makabila tofauti. Ukizubaa tu mwanzoni ndio mwisho wako. Mwanamke anapaswa kutambua kuwa anatakiwa kuachana na tamaduni za kwao na kujifunza mpya za ukweni.
Ndio maana hata akifa anaenda kuzikwa kwetu. This is African culture ya sehemu nyingi!! We umeolewa aafu unaleta mambo ya tukutane Kati, kaishi mwenyewe.
Usisumbue na kuwabania nafasi wengine walio tayari.
 
Umepatia kabisa. Unapooa mke wa kabila na tamaduni tofauti na yako uwe mwelewa sana vinginevyo utamwona mkeo anadharau, hada heshima na adabu kumbe ni tamaduni zenu zimepishana. Ukiwezamwelimisha kama vipi kausha tu
 
naona kama kuna shida kwenye hiyo ndoa zaidi ya hilo kosa la kuitiwa chakula mezani,hicho ni kijisababu tu maana hata hayo majibu ya mke ni ishara tosha kwamba kuna shida
 
mkuu hawa wapo kwenye kipindi cha who is who in this house, jamaa alitakiwa apige mkurwa wa nguvu kama sio vibao then huo ugomvi ungeisha salam bila mke kuondoka hapo ndoa ndio ingekaa sawa sasa.
 
Kuna vitu nataka kuandika hapa afu nachoka tu

kuna siku utatembelewa na baba yako afu umwambie amwandalie baba atakujibu "**** wewe Leo jiko hulioni"
Ha ha Mengine nimefuta
 
Kama amesharuhusiwa na mwanamke mwenyewe kuoa mwingine wa namna anayotaka yeye, anasubiri nini sasa...



Cc: mahondaw
 
Wachaaa wee
hii tabia bado ipo au ulivyoingia town yenyew ikapanda basi ikarud nyumban
Siwezi msalimia mtu mzima nimesimama au mgeni ndani ambae ananizidi umri nimpe kitu nimesimama? Haiwezekani.yaan nishazoea siwezi acha.
 
Kuna vitu nataka kuandika hapa afu nachoka tu

kuna siku utatembelewa na baba yako afu umwambie amwandalie baba atakujibu "**** wewe Leo jiko hulioni"
Ha ha Mengine nimefuta
Hawezi tatizo watu wakioa wanaona kama wamenunua mtu!! Kama anakuheshim hawezi fanya vitu hivo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…