Analalamika kuwa mke wake hamuandalii wala kumuita chakula kikiwa tayari na anamuachia ‘dada wa kazi’ afanye hivyo

Wanawake bhana.
Mkikutana watu wa kabila tofauti wazazi wetu huwa wapinzani Sana.
Ukimuambia anaanza kulia na kulalamika kubaguliwa na kudai atajifunza hayo ya upande wa mwanaume.
Akishapata cheti anaanza kutaka kumbadilisha mwanaume aendane na makuzi aliyopewa yeye.!!
Mwanaume ukikubali umeliwa.
Utajenga Hadi kwao wakati wazazi wako wanaishi nyumba ya miti kijijini huko.

Haya tunakutana nayo tuliooa makabila tofauti. Ukizubaa tu mwanzoni ndio mwisho wako. Mwanamke anapaswa kutambua kuwa anatakiwa kuachana na tamaduni za kwao na kujifunza mpya za ukweni.
Ndio maana hata akifa anaenda kuzikwa kwetu. This is African culture ya sehemu nyingi!! We umeolewa aafu unaleta mambo ya tukutane Kati, kaishi mwenyewe.
Usisumbue na kuwabania nafasi wengine walio tayari.
 
Umepatia kabisa. Unapooa mke wa kabila na tamaduni tofauti na yako uwe mwelewa sana vinginevyo utamwona mkeo anadharau, hada heshima na adabu kumbe ni tamaduni zenu zimepishana. Ukiwezamwelimisha kama vipi kausha tu
Jamaa Mtanga bana kaoa Mchaga miezi kama 6 iliyopita.

Enzi zote za uchumba mke alikuwa anajibidiisha kuandaa chakula cha mumewe, lakini sasa dada wa kazi ndio kila kitu kuandaa mpaka kumpa taarifa mume kuwa chakula kipo tayari mezani.

Sasa alikuja kuniuliza hilo jambo lipo sawa...kwa tamaduni za kwao Tanga mke ndio anampa taarifa mume kuwa chakula kipo tayari...

Sasa leo SIKUKUKU YA EID mume kasusa kula alivyopewa taarifa na house girl, mke kamjibu kaoe mke wa namna hiyo wa kukuita kila wakati wa maakuli.

Jamaa kaja kutaka ushauri, mie nimemjibu ni kawaida tu, tamaduni zinapishana asilazimishe mambo ya kwao Tanga, achukulie poa tu asikuze mambo yasiyo na msingi...

Je nimepatia au nimemuingiza chaka?
 
naona kama kuna shida kwenye hiyo ndoa zaidi ya hilo kosa la kuitiwa chakula mezani,hicho ni kijisababu tu maana hata hayo majibu ya mke ni ishara tosha kwamba kuna shida
 
Mama zetu walipokuwa wanaolewa walikuwa wanajifunza tamaduni za alikoolewa na kujifunza.
Hata kwa kuigiza tu.
Hawa wanawake tunaoa miaka hii anataka mwanaume uige tamaduni na taratibu alizojifunza mitaani!!
Ujinga tu ndio umewajaa.
Kauli ndio ziro kabisa.
Ongeza mke wa pili uishi kwa Raha zako. Huyo unamuachia nyumba aendelee kuishi.
mkuu hawa wapo kwenye kipindi cha who is who in this house, jamaa alitakiwa apige mkurwa wa nguvu kama sio vibao then huo ugomvi ungeisha salam bila mke kuondoka hapo ndoa ndio ingekaa sawa sasa.
 
Kuna baadhi ya mambo hua nikisikia nashangaaga sana! Mimi sijui sababu nimekua nikijitegemea kwa muda mrefu!! Nakumbuka nimeanza kuishi mwenyewe boarding school na kila kitu nikiwa na 13yrs hivi. Nimeanza kuishi na mwanamke nina 25yrs. Ukweli sijaonaga sababu ya kuandaliwa chakula au hata kufuliwa. Nikitoka kazini nikikuta chakula nakula nisipokuta sio kesi napika mwenyewe na wide yupo anaangalia tv sipendagi sumbua watu kbs. Lkn unakuta mtu anaweza acha mkewe eti hajakaribishwa chakula!? Kweli!? Kweli hua sielewagi.. wanaume hebu wapeni wake zenu uhuru vitu vidogo maliza mwenyewe! Mfano mke wangu hapendi dagaa na maharage mimi siku nipo home napika dagaa zangu vzr na maharage mafreeze siku ninahamu natoa napika ugali wangu safi!
Kuna vitu nataka kuandika hapa afu nachoka tu

kuna siku utatembelewa na baba yako afu umwambie amwandalie baba atakujibu "**** wewe Leo jiko hulioni"
Ha ha Mengine nimefuta
 
Kama amesharuhusiwa na mwanamke mwenyewe kuoa mwingine wa namna anayotaka yeye, anasubiri nini sasa...



Cc: mahondaw
 
Wachaaa wee hii tabia bado ipo au ulivyoingia town yenyew ikapanda basi ikarud nyumban
Siwezi msalimia mtu mzima nimesimama au mgeni ndani ambae ananizidi umri nimpe kitu nimesimama? Haiwezekani.yaan nishazoea siwezi acha.
 
Kuna vitu nataka kuandika hapa afu nachoka tu

kuna siku utatembelewa na baba yako afu umwambie amwandalie baba atakujibu "**** wewe Leo jiko hulioni"
Ha ha Mengine nimefuta
Hawezi tatizo watu wakioa wanaona kama wamenunua mtu!! Kama anakuheshim hawezi fanya vitu hivo!
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom