Anakulaje chakula mtu huyu?...

angalau ingekuwa ndevu, lakini masharubu kama haya ni ujinga tu. atakua anakula kwa shida, akinywa misharubu inaingia kwenye kinywaji. sidhani kama atakua ana mwanamke huyu jamaa, na kama anaye basi atakua dictator, huyo dada namuhurumia sana
 
....hiyo inaitwa Mpoki style at work. wataalam wa Adobe wanaonyesha mambo yao.
 
Kwa imani yake nadhani denda ni dhambi. Kaka kahtaan naomba mwongozi (jibu upesi kabla hajaja yule mhasimu wako )

weka swali wazi , hapa kidogo umenichanganya!! Huwezi kuwa na dhanna na Imani, ni mawili aidha ni DHAMBI AU SI DHAMBI, Weka sawa usaidiwe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…