Anakuja na mdogo ake

Anakuja na mdogo ake

Joined
Apr 10, 2013
Posts
71
Reaction score
14
Waungwana hi ni kweli! kuna dem kwel twapendana nikiwa na shda anansaidia nam pia namsaidia ila sasa ukitaka 2nda anakutel mpka 2funge ndoa, sasaiv kafunga safar kutoka Dar adi Arusha anakuja getto cha kushangaza anakuja na mdogo ake anaumri km miaka 4 iv afu kanapenda kukesha na czon.(USHAURI WAKO NI MUHIMU}
 
Hili swala lineshajadiliwa kwa mapana na marefu hum....tafuta uzi bado upo active
 
Kwani wewe ulitakaje?

Dogo anatumika kama mlinda papuchi
 
Huyo dada ana umri gani? isije ikawa huyo ni mwanae na baba kasafiri!
Utaishia kutoa kampan.
 
mkuu kuna wanawake wanamsimamo sana unaweza ukalala nae na mzigo usiupate kabisaa
 
Back
Top Bottom