nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 939
Kama ilivyo kawaida watanzania/waswahili hawakaukiwi maneno vinywani mwao, ...zilipoingia gari za pajero miatano ikaitwa pajero/jero,...elfu 10 ikaitwa wekundu WA msimbazi, ...sasa kapotea faru wetu John noti hii imepachikwa jina la faru John