inasikitisha sana, watu kama hao ndio wanataka kukimbizana na Kenya kwenye East African Community katika soko la ajiri... ukiona kazi imetangazwa mhitaji anaweka no ya simu ili atafutwe ujue huyo ni dalali au mbabaishaji, kuna kazi niliwahi kutangaza kijana mmoja graduate akaweka namba ya simu nimtafute baada ya kumpigia simu nikaanza kumfanyia assessment kichwani alikua mweupe na porojo nyingi ikabidi nikate simu.