PEVU HALISI
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 207
- 85
Mkuu mchape mapema sana, hiyo sio dalili nzuri ukizubaa utakuta ameishakuacha ameenda kwa huyo jamaa anaefanya wonders hadi anahisi wewe utamuumizaNipo kwenye mahusiano na huyu manzi yapata mwezi sasa, ni mtoto mkali kiukweli.
Ila siku za hivi karibuni kuna kauli kaniambia yenye utata, ilianiambia eti, ana wasi wasi kwamba nitamuumiza. Kikubwa zaidi, sijawahi kumfanyia kosa kubwa lolote lile mpaka kupelekea kuniambia hiyo.
Nampenda na ananipenda, au ndio kumwagana kunanukia??
Nimekuelewa chief. Halafu hajui tu, nataka nitulie nayeMkuu mchape mapema sana, hiyo sio dalili nzuri ukizubaa utakuta ameishakuacha ameenda kwa huyo jamaa anaefanya wonders hadi anahisi wewe utamuumiza
Ana hofu tu kwamba nitamsalitiMuulize vizuri utamuumiza kivipi ? Labda bikra huwenda anamaanisha ataumia ukimuingilia mara ya kwanza,au muulize historia yake ya mapenzi, huenda alitendwa na mpenzi wake aliyepita kabla yako.kwahiyo anahisi nawewe utamuumiza.
Ana hofu tu kwamba nitamsaliti
Okay, chiefMshauri ajiamini, akiweza pia na wewe atakuamini.
Haina kwere man, nimekupataNipo na mwanamke wa hivyo.
Cha msingi anahitaji umuaminishe kuwa unampenda, kuwa nae karibu zaidi.
Wakipenda wamependa
Yeah ila zingatia ushauri kuwa usichelewe kumchapa nao.Haina kwere man, nimekupata
Ebu fafanua mkubwa tukuelewe ana maanisha utamuumiza kimahusiano au utamuumiza kipapune chake kwa maana kwamba dushe lako ni kubwa..Nipo kwenye mahusiano na huyu manzi yapata mwezi sasa, ni mtoto mkali kiukweli.
Ila siku za hivi karibuni kuna kauli kaniambia yenye utata, iliniambia eti, ana wasi wasi kwamba nitamuumiza. Kikubwa zaidi, sijawahi kumfanyia kosa kubwa lolote lile mpaka kupelekea kuniambia hiyo.
Nampenda na ananipenda, au ndio kumwagana kunanukia??
Ana hofu tu kwamba nitamsalitiEbu fafanua mkubwa tukuelewe ana maanisha utamuumiza kimahusiano au utamuumiza kipapune chake kwa maana kwamba dushe lako ni kubwa..
Kwani wewe unaonaje huko mbeleniAna hofu tu kwamba nitamsaliti