anahitajika

papaa2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2012
Posts
411
Reaction score
101
leo sikwenda kazini basi niko bored kweli,nahitaji mtu ambaye yuko free kama mimi ani-PM tuchat walau kusogeza muda mbele tukisubiri time za bia na nyama choma.

mademu watapewa nafasi ya kwanza,na anaweza kujongea nilipo kwa ajili evening out.
 
Yaani nikusogezee muda wewe ukale nyama choma na bia mimi niendelee kushangaa tu?
 
hujaona hapo chini,kama una nafasi tukale wote?
 
Mh nina wasiwasi maana siku hz watu hawakaribishani ovyo.
 
Yaani nikusogezee muda wewe ukale nyama choma na bia mimi niendelee kushangaa tu?

hujaona hapo chini,kama una nafasi tukale wote?

mmh mbona hata sijapaona na mie hao macho yangu na ya Meljons hayaon vizuri
sasa na wewe kisa tu uko bored ndo usiende kazini kwa minajil hiyo si utakuwa unamis job mara nying
maana stress ni nyingi sana
 
Last edited by a moderator:
sio kwamba sijaenda kwa sababu ya stress ila leo nina mapumziko,mbona hamjitokezi
 
leo sikwenda kazini basi niko bored kweli,nahitaji mtu ambaye yuko free kama mimi ani-PM tuchat walau kusogeza muda mbele tukisubiri time za bia na nyama choma.

mademu watapewa nafasi ya kwanza,na anaweza kujongea nilipo kwa ajili evening out.

Ss ww kama co mshafamba ukiwekewa mtego ukskutwa na demu wa mtu na hivyo vichenji vyako maiti ukaliwa 0713 utamlaumu nani acha kujiexpress kishamba hivyo shauri yako watu tuna ugwadu ww tunasubiri tupewe maelekezo chunga sana hy chanel O yako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…