Anahitajika mwalimu wa physics katika shule ya secondary living stone boys seminary, shule ipo maeneo ya Muheza mjini mkoani Tanga. Tunatoa mshahara mzuri kwa mtu atakaye kizi vigezo vyetu.
Mbali na mshahara pia tunatoa nyumba na huduma mbalimbali kwa wafanyakazi. Muombaji awe na degree au diploma ya education or related field
Unaweza nipigia simu 0763892529 au tuma cv yako kwenye email hii;
mshahara87@gmail.com