anahitajika mwalimu wa kike mwenye qualifications za kufundisha watoto wenye umri chini ya miaka 3. center ipo mbezi beach, atapewa chumba cha kulala na chakula bure, experience si muhimu sana mradi awe na vigezo na moyo wa kupenda watoto.
mshahara ni negotiable. mwenye interest atume CV kwenye e mail ya l.angels@rocketmail.com
mshahara ni negotiable. mwenye interest atume CV kwenye e mail ya l.angels@rocketmail.com