Nyumba ipo Mwenge jirani na Afrika Sana. Anahitajika muwekezaji atakayeingia ubia au kutoa mkopo wenye riba kwenye kuendeleza eneo hilo kibiashara.
Nyumba inafaa kuboreshwa ktk maeneo/malengo yafuatayo
1. Hosteli (kuna uhitaji mkubwa wa hostel)
2. Ukumbi
3. Maduka
4. Ofisi
Muwekezaji aliyemakini awasiliane inbox tuweze kuyajenga. Kama una lengo la kununua unakaribishwa kwa mazungumzo.