Wakuu nahitaji mtaalam wa IT , kuna kazi hapa ya online business
Sifa zake....
1.awe na laptop yake
2.awe mtanzania wa mkoa wowote
3.asiwe na kazi nyingne na
4.umri kuanzia miaka 20 hadi 28
Mshahara..,...50% ya mapato ..
Njoo PM kama upo tayari....
Au email ...irenebby8@gmail.com
Ukute anahitaji vitunguu thoumu tu wala si kingineirene wewe ni noma sana,eti mshahara ni 50% ya mapato!!