Anahitajika msimamizi wa bar

Anahitajika msimamizi wa bar

Mete

Member
Joined
May 19, 2021
Posts
42
Reaction score
61
Tangazo la ajira

Anahitajika msimamizi wa bar

Vigezo
  • Awe mkazi wa Dar
  • Elimu form four n above
  • Jinsia wanawake watapewa kipaumbele
  • Awe na background ya sales
  • Mkweli na mwaminifu

Majukumu
  • Kusimamia bar
  • Manunuzi
  • Mauzo
  • Mahesabu
  • Ajira nk
Mshahara na marupurupu ni maelewano

Kwa mawasiliano PM
 
Dar kubwa saana ungebaisha eneo bar ilipo na si vibaya ukaitaja wengine tunaweza kuja kunywa siku moja moja tukaungishana charity starts at home na hapa ndio nyumbani
 
Bro what went wrong... Naona una block namba kila inayochat na wewe kwa njia ya WhatsApp bila hata salamu. Tulipeana namba,ghafla nikaona nikucheki Whatsapp...kitendo cha salaamu tu,nikala block. Nikabadili namba,nikakutext tena,uliposoma tu nikala block. Nikajiuliza nini shida? Mbona una block tu!
 
Una nuksi kali sana.
Njoo uoshwe mkuu😅😅🤣
 
Bro what went wrong... Naona una block namba kila inayochat na wewe kwa njia ya WhatsApp bila hata salamu. Tulipeana namba,ghafla nikaona nikucheki Whatsapp...kitendo cha salaamu tu,nikala block. Nikabadili namba,nikakutext tena,uliposoma tu nikala block. Nikajiuliza nini shida? Mbona una block tu!
Tangazo la muda hilo, pengine keshapata mtu tayari. Lakin pia kasema mwanamke ndo atapewa kipaumbele
 
Bro what went wrong... Naona una block namba kila inayochat na wewe kwa njia ya WhatsApp bila hata salamu. Tulipeana namba,ghafla nikaona nikucheki Whatsapp...kitendo cha salaamu tu,nikala block. Nikabadili namba,nikakutext tena,uliposoma tu nikala block. Nikajiuliza nini shida? Mbona una block tu!
Anatafuta wanawake wa kuwamega huyo. Hapo akiona namba ya dume ni block tu.
 
Tangazo la ajira

Anahitajika msimamizi wa bar

Vigezo
  • Awe mkazi wa Dar
  • Elimu form four n above
  • Jinsia wanawake watapewa kipaumbele
  • Awe na background ya sales
  • Mkweli na mwaminifu

Majukumu
  • Kusimamia bar
  • Manunuzi
  • Mauzo
  • Mahesabu
  • Ajira nk
Mshahara na marupurupu ni maelewano

Kwa mawasiliano PM
Yataje
 
Back
Top Bottom