Anahitajika Msichana wa Stationery!!

Anahitajika Msichana wa Stationery!!

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,734
Reaction score
1,011
Habari wadau, anahitajika msichana aliyesomea mambo ya Secretarial kwa ajili ya kusimamia Stationery na Internet Cafe

Sifa za Mwombaji:
1.Awe ni Mkazi wa Arusha Mjini
2. Awe amesomea na Kuhitimu course ya Secretarial

kwa anayehitaji ani pm namba ya simu.....atapigiwa!! masuala ya mshahara mtaelewana baada ya mazungumzo...!!
 
Back
Top Bottom