Anahitajika msichana wa kazi za nyumbani (house girl) asiwe mwanafunzi na ajitambue!!!

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
428
575
Anahitajika msichana wa kazi kwa ajili ya shughuli za nyumbani kama Usafi, kutunza nyumba, kupika nk

Awe na miaka 18 hadi 24, aliye maliza kidato cha 4 au Mwenye uzoefu wa kazi za nyumbani, au hotel ndogo atapewa upendeleo

Malipo ni mazuri na mzingira ya kazi ni mazuri sana

Unaweza kuwasiliana mwajiri kwa namba ya simu

Ikiwa unahitaji nafasi hii andika ujumbe mfupi au piga simu namba iliyotajwa, kwa walio serous tu tafadhali

Kumbuka siwezi kuweka namba ya simu kwa sababu ya kiusalama kuna watu wengine hawatafuti kazi Bali ni kusumbuana tu
Bofya link hii kusoma maelekezo na kupata namba ya simuhttp://goo.gl/Ndi9CT
 
Ingekuwa ya kwenda na kurudi ingefaa zaidi,ni maeneo gani mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom