Anahitajika mhudumu wa lodge

Anahitajika mhudumu wa lodge

Joined
Oct 18, 2015
Posts
12
Reaction score
3
Makos General Enterprises inauhitaji wa muhudumu wa Lodge, lodge ipo maeneo ya airport karakata. Vigezo ni awe na uwezo wa kusoma na kuandika, msafi kiujumla, mwenye lugha nzuri kwa wateja na pia mchapa kazi. Kwa mawasiliano zaidi piga namba
0756 452 556
 
Ngoja waje wachangamkie fursa...any way hujataja unataka wa jincia gan
 
Back
Top Bottom