Anahitajika mfanyakazi wa stationary

Anahitajika mfanyakazi wa stationary

culman

Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
29
Reaction score
3
Anahitajika mtu mwenye sifa zifuatazo kwa ajili ya kazi ya stationary

Sifa:
Amehitimu kidato cha Nne
Anaweza program za Ms word, Excel na Publisher
Umri usizidi miaka 25
Awe single

Kwa mawasiliano piga 0784259521
 
single hiyo vipi anakaa kwa Boss au? kama hakai kwa boss wewe unaangalia ufanyaji wakazi au maisha yake binafsi? mie natafuta kazi hiyo tatizo hivyo vigezo naomba kueleweshwa
 
single hiyo vipi anakaa kwa Boss au? kama hakai kwa boss wewe unaangalia ufanyaji wakazi au maisha yake binafsi? mie natafuta kazi hiyo tatizo hivyo vigezo naomba kueleweshwa
itakuwa kuna kazi zingine hapo kama upishi,kumfulia nguo boss n.k
 
Anahitajika mtu mwenye sifa zifuatazo kwa ajili ya kazi ya stationary

Sifa:
Amehitimu kidato cha Nne
Anaweza program za Ms word, Excel na Publisher
Umri usizidi miaka 25
Awe single

Kwa mawasiliano piga 0784259521
Nina dada angu kasomea usecretary na anatafuta hiyo kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom