KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 783
- 1,425
Sijaelewa...KILIO CHA WATU WENGI
Yaani wadada wa kazi siku hizi ngumu sana kupatikanaSijaelewa...
Ni kweli mkuu. Ila nimeambiwa wanapatikana kuna mdau aliwapata watatu humu, na hadi sasa wanafanya vyema kazi zao!yaani wadada wa kazi siku hizi ngumu sana kupatikana
OOOH KUMBE, kila la heri mkuuNi kweli mkuu. Ila nimeambiwa wanapatikana kuna mdau aliwapata watatu humu, na hadi sasa wanafanya vyema kazi zao!
Ndio maana na mimi nimepost
Asante, akipatikana nitatoa mrejesho.OOOH KUMBE, kila la heri mkuu
Hapana, sio Moshi vijijini.Moshi aje kukatia Mbuzi na Ng'ombe majani?
poaAsante, akipatikana nitatoa mrejesho.
Ila mpaka sasa no body
Kuna tatizo?Moshi aje kukatia Mbuzi na Ng'ombe majani?
Hapo sasa.
Haya ufanikiwe.Na mimi nahitaji dada wa kazi... umri 19-24... kazi sio nyingi... naishi peke yangu [emoji2][emoji2]
Ni nitafutee ninaoAsante, akipatikana nitatoa mrejesho.
Ila mpaka sasa no body
akutafte wapi tena? kama unao si weka wazi hapa. ila jamaa nae anataka kuanzia miaka 24, huyo mfanyakazi au mke?Ni nitafutee ninao
Labdaakutafte wapi tena? kama unao si weka wazi hapa. ila jamaa nae anataka kuanzia miaka 24, huyo mfanyakazi au mke?
Sijakuelewa bossiNi nitafutee ninao