Sorry ma friend, dini kwangu ni tatizo , sio tena mwenye sifa zinazohitajika.mm mkirisitu lakini sifa zingine ninanazo
Nipo Tayari mimi hapa,am 42,nimeajiriwa private sector,nina watoto wa 2 na mke tuliachana,urefu 5ft 13 inches,si mwembamba si mnene!mi muislamu,naomba usini pm unijibu hapa hapa kama nimefanikiwa ili baadaye tuhamie pm!maana nimezidi miaka miwili!habari waungwana,,,anahitajika mchumba mwenye haya yafuatayo:
- awe muislam na mwenye imani ya dini
-kuanzia miaka 30 up to 40
-mwenye malengo hasa ya kuwa na familia na kuwa na kizazi chema
-mwenye kujitambua na akili za utu uzima na kujua nn maana ya ndoa
-mfanyakazi kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe
- mrefu kiasi,mwembamba kiasi
sifa za mwanamke ni;
- degree
- mfanyakazi(ameajiriwa)
-miaka 30
-muislam na mwenye imani ya dini
-mfupi kiasi na si mnene sn,mweupe kiasi.
* DINI IZINGATIWE
* ANAEFAA AJE PRIVATE.
thamani yangu kubwa niliyonayo ni kuwa mwanamke.Tuanze na wewe kwanza una nini?
kitu chenye thamani kubwa ulicho nacho ni nini??[emoji12] [emoji12]
kama upo serious plz njoo inbox.Nipo Tayari mimi hapa,am 42,nimeajiriwa private sector,nina watoto wa 2 na mke tuliachana,urefu 5ft 13 inches,si mwembamba si mnene!mi muislamu,naomba usini pm unijibu hapa hapa kama nimefanikiwa ili baadaye tuhamie pm!maana nimezidi miaka miwili!
utanikumbuka lakini ujue.... mm nilitaka kukupa penzi la dhatiSorry ma friend, dini kwangu ni tatizo , sio tena mwenye sifa zinazohitajika.
5ft 13 inches.....[emoji55] [emoji55] we jamaa wewe vipimo vya nchi gani hivi....12 inches = 1 ft......Nipo Tayari mimi hapa,am 42,nimeajiriwa private sector,nina watoto wa 2 na mke tuliachana,urefu 5ft 13 inches,si mwembamba si mnene!mi muislamu,naomba usini pm unijibu hapa hapa kama nimefanikiwa ili baadaye tuhamie pm!maana nimezidi miaka miwili!
Nimekosea ni 5'115ft 13 inches.....[emoji55] [emoji55] we jamaa wewe vipimo vya nchi gani hivi....12 inches = 1 ft......
Anyway anakuja lakini mwenyewe.......
habari waungwana,,,anahitajika mchumba mwenye haya yafuatayo:
- awe muislam na mwenye imani ya dini
-kuanzia miaka 30 up to 40
-mwenye malengo hasa ya kuwa na familia na kuwa na kizazi chema
-mwenye kujitambua na akili za utu uzima na kujua nn maana ya ndoa
-mfanyakazi kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe
- mrefu kiasi,mwembamba kiasi
sifa za mwanamke ni;
- degree
- mfanyakazi(ameajiriwa)
-miaka 30
-muislam na mwenye imani ya dini
-mfupi kiasi na si mnene sn,mweupe kiasi.
* DINI IZINGATIWE
* ANAEFAA AJE PRIVATE.
Fuata maelekezo mkuu acha longolongo.acha wenye sifa zetu twende chobingomm mkirisitu lakini sifa zingine ninanazo