Otto Mendez
Member
- May 1, 2017
- 50
- 13
Salaam zenu wana jf.Kwa kifupi nafanya biashara ya nyumba ya kulala wageni(guest house) iliyopo TEMEKE.
Nyumba yangu ya wageni ina vyumba saba (7) ambavyo kwa siku nina uwezo wa kuingiza tshs laki moja(tshs 100000) fixed kwasababu ipo uswahilini na wateja wengi sana na wateja wangu ni wa kawaida.
Kwaiyo natafuta mwekezaji,kutokana kwa nyuma ya la jengo la zamani ni nimejenga lingine lina vyumba vinane bado sijafanyia roofing na finishing nyingine na kutokana na wateja wengi kwa siku nikimaliza kote nitakuwa na uwezo wa kukusanya laki 2-3 kwa siku ni uhakika maana biashara ya siku nyingi na ina wateja wengi.
Mwekezaji anatakiwa awe na uwezo wa cash milion 38-40 kwa ajili ya uwekezaji na makubaliano yetu yatakuwa ndani ya miaka miwili(2yrs) na mgawanyo wa fifty fifty percent ndani ya miaka miwili.
Unaweza kuni pm au hapa hapa kama kuna maswali,maoni,ushauri karibuni sana.