Habarini wakuu, Anahitajika msichana wa kuuza duka Sinza.
Sifa:
Mwaminifu, mwenye uzoefu wa kuhudumia wateja na kwa haraka, awe anakaa maeneo ya karibu na sinza ( kupanda at least gari moja) na Awe msichana Mzuri.
Habarini wakuu,Anahitajika msichana wa kuuza duka Sinza.Sifa.Mwaminifu, mwenye uzoefu wa kuhudumia wateja na kwa haraka, awe anakaa maeneo ya karibu na sinza ( kupanda at least gari moja) na Awe msichana Mzuri.PM kwa walio interested.

waschana wa cku hzi hamna akili HOPELESS kabisa kazi gani kigezo unambiwa UWE MZURI kwanza na bado unajipeleka tu una tofauti gani na wale wa UWANJA WA FISI, SINZA, mtaishia sana kulalamika kua hamuolewi