Anahitajika binti wa kusimamia stationery

Anahitajika binti wa kusimamia stationery

compos

Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
66
Reaction score
28
Habari ya Jumapili wana jukwaa...

Anahitajika binti kwa ajili ya kusimamia stationery iliyopo Dar es salaam, maeneo ya Riverside. Anayeweza kazi hizo ani PM
 
Habari ya jumapili wana jukwaa...anahitajika binti kwa ajili ya kusimamia stationery iliyopo dar es salaam maeneo ya riverside...anayeweza kazi hizo ani PM

Mkuu nitakutumia bint mi ninachuo cha computer na secretarial.
 
Mkuu ni mwanaume na naweza hiyo kazi kwa ufasaha kabisa pia matumizi yote ya vifaa vya stationery mfano kufanya binding, lamination, nk pia nina uzoefu na software zifuatazo word, excel, powerpoint, publisher nk. Ninaomba nafasi hiyo kama nitaweza kuipata nitashukuru sana.

Mawasiliano yangu 0757191544 au 0655191544
 
Mkuu nitakutumia bint mi ninachuo cha computer na secretarial.
Mkuu ni mwanaume na naweza hiyo kazi kwa ufasaha kabisa pia matumizi yote ya vifaa vya stationery mfano kufanya binding, lamination, nk pia nina uzoefu na software zifuatazo word, excel, powerpoint, publisher nk. Ninaomba nafasi hiyo kama nitaweza kuipata nitashukuru sana. mawasiliano yangu 0757191544 au 0655191544
Hivi ninyi, hamuwezi kusoma maelezo au tatizo nini.... Maana kama lugha iliyotumika ni nyepesi saanaa... Au hamuelewi maana ya PM!??
 
Mkuu ni mwanaume na naweza hiyo kazi kwa ufasaha kabisa pia matumizi yote ya vifaa vya stationery mfano kufanya binding, lamination, nk pia nina uzoefu na software zifuatazo word, excel, powerpoint, publisher nk. Ninaomba nafasi hiyo kama nitaweza kuipata nitashukuru sana. mawasiliano yangu 0757191544 au 0655191544
jieleze nyuma ya Pazia... wacha kujitafutia usumbufu kwa kuandika namba hapa hadharani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom