Habari Wadau,
Anahitajika mtu mwenye sifa zifuatazo:
- Awe na uzoefu wa kuuza pombe kali (Spirits) walau boksi 2,000 kwa mwezi
- Awe mwaminifu na muadilifu
- Awe tayari kufanya kazi Singida, Dodoma na Rukwa
- Awe na umri kati ya miaka 25-35
Kama una sifa zilizotajwa nitumie email kupitia
english.learnertz@gmail.com