Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Wadau mm nina wife yeye ni form four leaver ya 2008 na ana points 29 lkn familia zetu za kibongo kwao hawakumuendeleza na nimekuja kumuoa hajasomea fani yoyote ila life la kunitegemea mm tu kiujumla ni gumu.
Sasa nipo naye Dar na kiukweli mm uwezo wa kifedha ni mdgo.
Hana utaalamu wowote kiukweli ila anaweza fanya kazi zote zisizo za kitaalamu mfano kuuza duka au km wadau atakayokuwa nayo ntashukuru.
Kwa mawasiliano ni 0716060380 na dar tunaishi tabata.
Mungu atasikia hitaji la moyo wako!
USHAURI:
jitahidi km mnaweza akafanye hata kozi za uhudumu wa afya yaani medical attendant, itamsaidia!
sina uhakika na ualimu grade A kwa point hizo unaeza pata pa kuanzia!
Uta go ngewa wewe mwanamke pambo la nyumba acha atulie nyumbani
Wadau mke wangu ni form four leaver ya 2008 na ana points 29 lakini familia zetu za kibongo kwao hawakumuendeleza na nimekuja kumuoa hajasomea fani yoyote ila life la kunitegemea mimi tu kiujumla ni gumu.
Sasa nipo naye Dar es Salaam na kiukweli mimi uwezo wa kifedha ni mdgo. Hana utaalamu wowote kiukweli ila anaweza fanya kazi zote zisizo za kitaalamu mfano kuuza duka au kama wadau atakayokuwa nayo ntashukuru.
Kwa mawasiliano ni 0716060380 na Dar tunaishi Tabata.