Nahitaji mdada wa Stationery DODOMA,tatizo umeweka namba isiyo kamili[emoji1745]Pole na kazi, Mimi kwa majina naitwa Salome Edward mwenye umri wa miaka 23, Ninaomba kazi ya Sekretari/stationery Pia Mimi ni mzoefu wa kazi hii nimefanya kwa kipindi cha miaka 5,nipo singida ila popote naweza kufika hivyo na sifa nyinginezo ninazo
napatikana kwa 065566341
🤣🤣🤣🤣🤣Picha ya salomee....plz
Kama bado hujapata kazi naomba tufatane PM kwa mazungumzo zaidi.0655663941
Vigezo, Mshahara, eneo la kazi???Kama bado hujapata kazi naomba tufatane PM kwa mazungumzo zaidi.
Kama kuna Mwingine anaejua hii kazi na ana uzoefu wa kazi Karibu PM.