Anahitaji kazi ya stationery

Anahitaji kazi ya stationery

Kakondele

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
239
Reaction score
214
Pole na kazi, Mimi kwa majina naitwa Salome Edward mwenye umri wa miaka 23, Ninaomba kazi ya Sekretari/stationery Pia Mimi ni mzoefu wa kazi hii nimefanya kwa kipindi cha miaka 5,nipo singida ila popote naweza kufika hivyo na sifa nyinginezo ninazo
napatikana kwa 065566341
 
Hii kazi unatafuta wewe au unamtafutia salome? Hapo kwenye sifa nyinginezo ndio nimepapenda. Ngoja nichukue hii namba ili nipate kuzifahamu hizo sifa nyinginezo ambazo hujaziweka kwa public.
 
Pole na kazi, Mimi kwa majina naitwa Salome Edward mwenye umri wa miaka 23, Ninaomba kazi ya Sekretari/stationery Pia Mimi ni mzoefu wa kazi hii nimefanya kwa kipindi cha miaka 5,nipo singida ila popote naweza kufika hivyo na sifa nyinginezo ninazo
napatikana kwa 065566341
Nahitaji mdada wa Stationery DODOMA,tatizo umeweka namba isiyo kamili
 
Back
Top Bottom