Anahisi nishawahi kutembea na mke wake

Anahisi nishawahi kutembea na mke wake

WE ARE ANONYMOUS

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2015
Posts
217
Reaction score
284
Jamaa yangu anaomba ushauri na nimeshindwa nimshauri nini nimeona niilete kwenu wana JF:

NIMEMPATIA HUU:

Firstly; Huyo bwana amjali mkewe na kumpatia haki yake ya ndoa kwa ukamilifu. Yeye ndiye amekubaliwa na kuoana na huyo mwanamke, sasa wasiwasi wake ni wa nini?

Secondly; Amwamini mkewe. Wivu mwingine uliojengwa juu ya hisia tu pasipo justifications mara nyingi ni hatari na hauna maana sana. Anachotakiwa kuelewa ni kwamba huyo mwanake hakumuoa akiwa bikira, ni lazima alishaonjwa na wanaume wengine huko nyuma. Muhimu ni kuwa yeye sasa ndiye mume wa mke huyo, ajiamini tu. Mke au mume hachungwi kama ng'ombe, otherwise kwa mtindo wa maisha wanayoishi ya kutoaminiana, they will not last for too long!

Thirdly; Why don't they talk? Kwa nini kila mmoja asiwe wazi kwa mwenzake? Kwa nini wanaviziana?.......Kwa maelezo yako haya, hii ni observation yangu kuwa, hawa wanandoa wamekosa kitu muhimu sana, MAWASILIANO.

Mahusiano/ndoa nyingi zinakufa/vunjika kwa sababu ya kukosekana kwa mawasiliano miongoni mwa wenzi. Wazungumze na mume kama ana wasiwasi fulani dhidi ya mwenzi (mke) wake. Trust me, kama approach ya mazungumzo hayo itakuwa ya kiungwana yenye lengo la kujenga, mume atapata mengi sana toka kwa mkewe vivyohivyo mke naye. From there, kila mmoja atamwelewa mwenzake kwa maana ya strengths and weaknesses zake na likes and dislikes zake na kwa hiyo kuchukuliana na kuaminiana kutaongezeka, furaha na amani ndani ya nyumba itaongezeka maradufu na watu wote nje ya wao wenyewe hawatakuwa threats tena ukiwemo wewe ambaye jamaa anakuhisi una mahusiano yaliyovuka mpaka na mke wake.

Njia anayotumia mwanamume ya kutoa maelekezo tu pasipo mazungumzo na mkewe ya "sitaki ukaribu na flani" au sitaki hiki au kile, siyo sahihi na kiukweli hai imairishi mahusiano bali inayadhoofisha na itafika wakati haitafanya kazi tena na mwisho wa siku ndoa hiyo itakufa!

Hebu tujaribu kufikiri ni kwa nini huyu mama anafikia hatua ya kuamua kutafuta ushauri nje ya mume wake? Ni kwa nini huyu mama anatunza text messages ktk simu yake anazofikiri ni za kumfariji hata nwisho wake mume wake akazinasa?..

Ni kwa sababu something is missing in her relationship (i.e her husband) and she thought, the option is to look it somewhere outside, kwa jamaa yake wa zamani japo huyu bwana kasema hajawahi kuwa na mhasuniano ya kingono. Lakini ktk hili ni lazima tujue kuwa, tendo la ndoa linalofanyika kwa ukamilifu, ni sehemu tu ya mambo mengi yanayoimarisha mahusiano/ndoa. Mengine ni kama kujali hisia za mwenzako, upendo nk.

Ni kwa muktadha huu kwamba, huyu bwana wala hana sababu ya kuvunja uhusiano na rafiki yake ktk mazingira haya na kwa sbb tu eti anahisi mkewe anatembea na rafiki yake huyo kwa kusoma txt msg za simu ya mkewe na kusikia ya watu wa nje wasemavyo, bali ajichunguze yeye mwenyewe na atagundua kosa na udhaifu wake.

Trust me, mkewe akiwa anapata vyote anavyostahili toka kwa mumewe (na hapa si maanishi material things kwa sbb hivyo vipo tu na wanavyo), namaanisha mapenzi, upendo, heshima, kujali hisia za mwenzake na mengine yanayofanana na hayo, hayo mengine yatajifuta yenyewe naturally!!

NA KUMWAMBIA, MKE WA MTU NI SUMU, JAPO ANASEMA ALISHAACHA MAZOEA NA HUYO MKE WA JAMAA KITAMBO SANA, SEMA HIZI ISHU ZIMETOKEA JUZI KATI, KWAMBA MKE WA HUYO JAMAA ALIMCALL AKAMWAMBIA SINCE HICHO KIPINDI ASOME SMS AMEKUWA AKIMUULIZA SANA ABOUT YEYE NA AMEAMBIWA WASHAWAI KUWA PAMOJA, JAMAA ANASEMA HATA MESSAGE ZA HUYO MWANAMKE NOW HAJIBU NI MWEZI WA PILI HUU LABDA AWE AMEMPA SALAAM TU KWAMBA MNAENDELEAJE ATAMJIBU IN SHORT.

Tiririkeni wana JF tumshauri huyu muungwana.
 
Acha kabisa ukaribu na mke wa mtu mazoea mabaya ndio maana watu wakioa hukataa mazoea na baadhi ya marafiki zao
 
Vitu vingine ni vya kitoto

hujatembea nae na huna mpango wa kutembea nae
unataka ushauri wa nini sasa?

mumewe kashasema uwe nae mbal na mbaya zaidi mwanamke ni mzembe hadi sms zake mumewe kaziona
wewe unakuja tukushauri nini? huoni hatari iliyopo mbele yako?
 
Acha kumzoea mke wa mtu.
Akiachana naye utamuoa wewe? Maana hawezi kuamini kama wewe hujawahi ku-do. Final and conclusive acha mazoea na mke wa mtu.
 
kwanza muambie huyo jamaa yako yeye ni mpumbavu....kwa nini unaendeleza mawasiliano nakujipendekeza kwa mke wa mtu na mumewe hataki??mume kuwa na wivu ni vyema kwa sababu ana mpenda mkewe...muambie aachane na mke wa mtu asijifanye kumjuajua sana na kuwa yeye ni mstarabu sana wakt ni mpumbavu,,..muambie atafute mke na yeye huo wema na care azipeleke huko asitake kuharibu ndoa ya watu nakujifanya yeye ndo shihata wakuambiwa matatizo ya ndoa ya watu....
 
jamaa yangu anaomba ushauri na nimeshindwa nimshauri nini nimeona niilete kwenu wana jf:

Tiririkeni wana jf tumshauri huyu muungwana.
kumbe unajua... Karma!!
#....mwambie hivii, mke wa mtu ni sumu,na mume wa mtu ni maziwa...$$%@****mae.
 
acha kabisa ukaribu na mke wa mtu mazoea mabaya ndio maana watu wakioa hukataa mazoea na baadhi ya marafiki zao
ndoa ni aina mpya na mahusiano
kata mawasiliano na kila mtu hata kama ni ndugu zako
uwe mume
au
uwe mke.
Mawasiliano yazaliwe kwa watu wapya wa aina mnayoendana.(fuli stopu)
 
Huyo mwanamke analilia mda. Hana mda wa kukaa na mpenzi wake akafurahia ndoa, ndio maana anakung'ang'ania, kwa vile mmewake yuko bize, na wewe jaribu kuwa bize zaidi.

Zaidi wewe usiwe na ukaribu na huyo mwanamke.

Aliposema ikimbieni zinaa, alimaanisha. Zinaa hainaga maombi, justi, run away.
 
Firstly; Huyo bwana amjali mkewe na kumpatia haki yake ya ndoa kwa ukamilifu. Yeye ndiye amekubaliwa na kuoana na huyo mwanamke, sasa wasiwasi wake ni wa nini?

Secondly; Amwamini mkewe. Wivu mwingine uliojengwa juu ya hisia tu pasipo justifications mara nyingi ni hatari na hauna maana sana. Anachotakiwa kuelewa ni kwamba huyo mwanake hakumuoa akiwa bikira, ni lazima alishaonjwa na wanaume wengine huko nyuma. Muhimu ni kuwa yeye sasa ndiye mume wa mke huyo, ajiamini tu. Mke au mume hachungwi kama ng'ombe, otherwise kwa mtindo wa maisha wanayoishi ya kutoaminiana, they will not last for too long!

Thirdly; Why don't they talk? Kwa nini kila mmoja asiwe wazi kwa mwenzake? Kwa nini wanaviziana?.......Kwa maelezo yako haya, hii ni observation yangu kuwa, hawa wanandoa wamekosa kitu muhimu sana, MAWASILIANO.

Mahusiano/ndoa nyingi zinakufa/vunjika kwa sababu ya kukosekana kwa mawasiliano miongoni mwa wenzi. Wazungumze na mume kama ana wasiwasi fulani dhidi ya mwenzi (mke) wake. Trust me, kama approach ya mazungumzo hayo itakuwa ya kiungwana yenye lengo la kujenga, mume atapata mengi sana toka kwa mkewe vivyohivyo mke naye. From there, kila mmoja atamwelewa mwenzake kwa maana ya strengths and weaknesses zake na likes and dislikes zake na kwa hiyo kuchukuliana na kuaminiana kutaongezeka, furaha na amani ndani ya nyumba itaongezeka maradufu na watu wote nje ya wao wenyewe hawatakuwa threats tena ukiwemo wewe ambaye jamaa anakuhisi una mahusiano yaliyovuka mpaka na mke wake.

Njia anayotumia mwanamume ya kutoa maelekezo tu pasipo mazungumzo na mkewe ya "sitaki ukaribu na flani" au sitaki hiki au kile, siyo sahihi na kiukweli hai imairishi mahusiano bali inayadhoofisha na itafika wakati haitafanya kazi tena na mwisho wa siku ndoa hiyo itakufa!

Hebu tujaribu kufikiri ni kwa nini huyu mama anafikia hatua ya kuamua kutafuta ushauri nje ya mume wake? Ni kwa nini huyu mama anatunza text messages ktk simu yake anazofikiri ni za kumfariji hata nwisho wake mume wake akazinasa?..

Ni kwa sababu something is missing in her relationship (i.e her husband) and she thought, the option is to look it somewhere outside, kwa jamaa yake wa zamani japo huyu bwana kasema hajawahi kuwa na mhasuniano ya kingono. Lakini ktk hili ni lazima tujue kuwa, tendo la ndoa linalofanyika kwa ukamilifu, ni sehemu tu ya mambo mengi yanayoimarisha mahusiano/ndoa. Mengine ni kama kujali hisia za mwenzako, upendo nk.

Ni kwa muktadha huu kwamba, huyu bwana wala hana sababu ya kuvunja uhusiano na rafiki yake ktk mazingira haya na kwa sbb tu eti anahisi mkewe anatembea na rafiki yake huyo kwa kusoma txt msg za simu ya mkewe na kusikia ya watu wa nje wasemavyo, bali ajichunguze yeye mwenyewe na atagundua kosa na udhaifu wake.

Trust me, mkewe akiwa anapata vyote anavyostahili toka kwa mumewe (na hapa si maanishi material things kwa sbb hivyo vipo tu na wanavyo), namaanisha mapenzi, upendo, heshima, kujali hisia za mwenzake na mengine yanayofanana na hayo, hayo mengine yatajifuta yenyewe naturally!!
 
Generally , Hakuna kitu kibaya uonane na mtu ambaye unagundua kwamba anaujua uchi wa mkeo ulivyo kabla yako.

Secondly , sijui kama utapungukiwa na chochote ukiamua kushika hamsini zako.Huyo jamaa anaweza kukufanyia chochote.Sasa pima Kushika hamsini zako versus kudhurika kipi bora ?
 
mkuu hiyo I.D yako inanisisimua mwili
 
hakunaga mazoea ya ukaribu kati ya mwanamke na mwanaume kama siyo ndugu ipo siku mtatongozana tu na hilo ndiyo mazoea ambayo jamaa hayataki.jaribu kuwa mbali na mke wa mtu maana ni sumu ipo siku jamaa atakubadilikia ujute kujuwana na mkewe.
 
Vitu vingine ni vya kitoto

hujatembea nae na huna mpango wa kutembea nae
unataka ushauri wa nini sasa?

mumewe kashasema uwe nae mbal na mbaya zaidi mwanamke ni mzembe hadi sms zake mumewe kaziona
wewe unakuja tukushauri nini? huoni hatari iliyopo mbele yako?

we mwache atajashikishw ukuta ndo atajua mke nouma
 
mkuu utabir wangu unaonesha dalili mbaya kwa jamaa ako...ramli zote znaonesha jamaa anashughulikiwa.....sasa ni hivi mwambie aache mazoea na mke wa mtu..huyo co demu ni mke sasa anang'ang'ania nini......hata mm mazoea na mke wangu siwez kuya intertain...onene ngw'ana mbate namalaga.
 
Nikiona story yyte inahusu bank najua ni fix tu, kama unabisha fuatilia mayapeli Wa nigeria
 
kama hajafanya wala hana nia ya kufanya lolote sioni shida hapo.

Ila mtu akishaolewa unakomaa kuchat naye vitu vitakavyoleta mgogoro ili iweje?!!
 
Jamani eeeeh embu mwacheni atanuliwe washeli manake ye c kidume! Mi huwa centertain mazoea na x-zangu coz mapenzikale mademu ni weak mmmmmmmno.
 
Back
Top Bottom