Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,512
- 64,861
Changamoto mkuu,unaweza kuhitaji huduma usiipate kwa muda unaotakaHivi kwa nini msiwe waaminifu wa ndoa zenu
Mkuu,unaanzaje kumshirikisha kuhusu uchepukaji wako?Nini maana ya ndoa ikiwa matatizo madogo madogo kama hayo hutaki kumshirikisha mkeo?
Mkuu,unaanzaje kumshirikisha kuhusu uchepukaji wako?
Kutafuta sarakasi zilizoenda shule mkuuNa kwanini uchepuke?
Karibu...FURUSHI.
Kutafuta sarakasi zilizoenda shule mkuu
Anahatarisha uhai wa ndoa yangu...
Nimekuwa na uhusiano wa pembeni wa hapa na pale, kwa ajili ya kupooza injini pale inapopata moto.Mbaya zaidi hawa warembo wangu wamekuwa na tabia ya kunijulia hali hata kama ni usiku wa manane bila kujali muda ule niko na bi mkubwa au la.
Nimejaribu kuwaeleza kila mtu kwa muda wake kuhusu utaratibu wa mawasiliano, lakini baada ya siku mbili tatu tatizo linarudi tena. Natamani kuwaacha lakini roho inauma. Imenibidi kila ninapokuwa na mwenzangu niblock namba zao ili kunusuru ndoa yangu.
Wakuu tatizo la namna hii huwa mnatatuaje?
Tena la tani milioni [emoji16][emoji16][emoji16]FURUSHI.
Kwa nini mkuuHiki swala halina utatuzi, utatuzi ni kuheshimu ndoa yako tu.
Ukifika miaka 50 utajua kuwa unachofanya Ni ujinga tu.
FURUSHI.
Hata wazee pia wana michepuko mkuuHii ni unaanza mapenzi chuo. Unamaliza chuo unapata kazi ndani ya mwezi bila kulaza damu unaamua kumuoa binti uliyekutana naye chuo.
Baada ya vumbi kutulia ndiyo unagundua huyo binti hakuvutii hata kidogo ila ilikua ni unaingia ndoani kisa nyege. So unakua ni kijana wa miaka 25 upo kwenye ndoa ambayo huna hamu nayo huku una michepuko lukuki.
You are young hujui hata kufanya maamuzi but you live in a social media era so you take your problems to the world expecting a solution.
Good luck.
Asili ya kiumbe dume yeyote huwa ni kuwa na majike wengiUngekua unaiheshimu hio ndoa usingechepuka